Write & CorrectSwahili
Mipanga Yangu Kutengeneza Ratiba Yangu
Nafikiri nahitaji kutengeneza ratiba yangu. Sihitaji kuwa kamili lakini itahitaji kuwa bora zaidi sasa.
Kuna mipanga mengi, na nahitaji kujua ninafanya kila moja na wakfu. Shauku si mahitaji, nahitaji kufanya tu.
Naanza kutumia Google Calendar, Kengele na orodha. sasa nahisi nafanya vitu ambacho nahitaji kufanya. Lakini, najua naweza kuzidi. Nitajisoma kujifunza kila njia naweza kutengeneza.
Posted
Corrections

Nafikiri nahitaji kutengeneza ratiba yangu. Sihitaji kuwa kamili, lakini itahitaji kuwa bora zaidi. Nina mipango mingi, na ninahitaji kufanikisha kila mpango kwa umakini. Shauku yangu ni kuona kila mpango unafanikiwa.
Kufanikisha hili, ninaanza kutumia Google Calendar na ninaweka orodha ya mipango ninayohitaji kufanikisha. Lakini nafahamu naweza kufanya zaidi ya hapa. Ninasoma na kujifunza kila njia ili niweze kufanikisha mipango yangu.