Write & Correct
Swahili

kuhusu mimi!

hujambo! karibu sana kwenye insha yangu, na asante kwa kusoma hiyo. Ninataka kujitambulisha: jina langu ni Jake, na lugha ya asili yangu ni Kingereza. Ningependa kujifunza Kiswahili ili niweze kuongea na watu wa Tanzania kiangazi kesho. Napenda kujifunza lugha, na naweza kuongea kijerumani na kihispania kidogo. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu, na huko nisoma isimu. Nakushukuru kwa kusoma insha hii na uisahihishe!

Posted

Corrections

No Corrections why not add one ?

Feedback