Write & Correct
Swahili

Leo ni baridi sana na mpango kwa kujifunza

Hapa, hali ya hewa ni baridi sana. Jana, lilikuwa baridi pia na sikaenda nje ya nyumba yangu. lakini, leo nahitaji kuenda ofisini ya daktari. Baada ya mwadi, nina madarasa matatu kujifunza maarifa na masoma mapya.

Mradi wangu ni kuisha kitabu kimoja mwezi huu. Nataka kusoma kiswahili njia hii, bila kuacha.

Posted

Corrections

No Corrections why not add one ?

Feedback