Write & CorrectSwahili
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ni nchi ndogo kuliko yote katika bara la Afrika na ni nyembamba sana. Mpaka yake unafafanuliwa na mto wa Gambia. Nchi iko chini ya kilomita 48 kwa upana wake mkubwa. Mipaka ya sasa ya nchi ilifafanuliwa mnamo mwaka 1889 baada ya makubaliano kati ya Uingereza na Ufaransa. Mara nyingi inadaiwa na Wagambiani kuwa umbali wa mipaka kutoka mto wa Gambia unafanana na eneo ambalo kanuni ya silaha ya vitani ya Ungereza ya wakati huo iliweza kufikia kutoka kwa mto huo. Walakini, hakuna ushahidi wa kihistoria wa kuunga mkono hadithi hiyo. Isipokuwa ukanda wake wa pwani, ambapo Gambia inapakana na Bahari ya Atlantiki, ni inazingira kabisa kwa nchi la Senegal.
Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti wa kiangazi na wa mvua. Kuanzia Novemba hadi katikati ya Mei kuna hali ya hewa kavu isiyoingiliwa. Wakati wa siku hali ya hewa ni starehe na jotojoto huku usiku ni baridibaridi kidogo. Kuanzia Juni hadi Oktoba ni msimu wa mvua. Katika kipindi hiki, kipimo cha joto kinaweza kupanda hadi 43 ° C lakini kawaida huwa chini karibu na bahari. Wastani wa mvua ya kila mwaka ni kati ya 920 mm (36.2 in) katika bara ya ndani hadi 1,450 mm (57.1 in) kando ya pwani.
Hakuna milima au maeneo yenye maana katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na inanyoosha. Mwinuko wa juu zaidi ni mita 53 (futi 173)tu juu ya usawa wa bahari. Kuna mikoko muhimu karibu na mdomo wa mto, misitu michache midogo na mbali zaidi kidogo ndani ya bara ya nchi kuna savanna za nyasi.
Corrections
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti wa kiangazi na
Hakuna milima au maeneo yenye maana katika Gambia. Ni nchi ambayo ardhi ni sawasawa na
Comment(s)
Andaa elezo ya nchi nyingine ya kiafrika
Gambia ina hali ya hewa ya joto na misimu tofauti
Hakuna milima au maeneo yenye