Kiswahili kama lugha zingine inaenziwa sana katika Africa mashariki. Inaunganisha wananchi wa mataifa tano ya eneo hili. Ingawa mataifa haya wanazungumza hii lugha, wanatanzania wanazungumza Kiswahili mufti sana kuliko wenzao wa mataifa mengine.
Kiswahili inafunzwa katika mashule na pia ni lugha rasmi ya kitaifa Kenya na Tanzania. Tuenzi lugha zetu tunazoelewa, tuungane and tuendeleza kwa vizazi vyote.