Sielewi kwa nini waswahili tu wachache hivyo, na pia wanaotaka kujifunza kiswahili pia ni wachache mno.
Waswahili wachache
Mi nafikiri waswahili wengi hawajaijua hii tovuti, na pia haina watumiaji wengi kivile kupata watu wenye shauku ya kutaka kujifunza kiswahili.
Posted
1
#2
Hamjambo.
Ckaranja wrote:Sielewi kwa nini waswahili tu wachache hivyo, na pia wanaotaka kujifunza kiswahili pia ni wachache mno.
Na mimi sielewi pia. Aisee, Kiswahili ni lugha nzuri zaidi na sahili sana. Mzungu huyu anaweza kukisema .
______________________________
SGP = _____ _____ ____ (currently remixing my nickname)
Edited
1
#3