Waswahili wachache

Posts0Likes0Joined9/10/2018LocationNairobi / KE
Native
English, Swahili
Learning Spanish

Sielewi kwa nini waswahili tu wachache hivyo, na pia wanaotaka kujifunza kiswahili pia ni wachache mno. 

I love my pets.
Posted 
1
#1
Posts0Likes0Joined6/11/2018LocationDodoma / TZ
Native
Swahili
Learning English

Mi nafikiri waswahili wengi hawajaijua hii tovuti, na pia haina watumiaji wengi kivile kupata watu wenye shauku ya kutaka kujifunza kiswahili. 

Posted 
1
#2
Posts0Likes0Joined10/12/2018Location
Native
German
Learning Afrikaans, Arabic - Standard, Danish, Dutch, English, Esperanto, French, Italian, Japanese, Latin, Norwegian, Portuguese, Romanian, Spanish, Swahili, Swedish, Toki Pona
Other Polish, Russian, Sinhala, Tagalog

Hamjambo.


Ckaranja wrote:
Sielewi kwa nini waswahili tu wachache hivyo, na pia wanaotaka kujifunza kiswahili pia ni wachache mno.


Na mimi sielewi pia. Aisee, Kiswahili ni lugha nzuri zaidi na sahili sana. Mzungu huyu anaweza kukisema .
 

______________________________

SGP = _____ _____ ____ (currently remixing my nickname)

My Youtube channel (EN, DE, ...)

Alpha Centauri Style Music (on Soundcloud)

Edited 
1
#3
    Feedback