35 Alichokisema dada yake Vusi

Swahili Known: 0
Passage stats:
Known: 0 (0%)
Unknown: 154 (100%)
Learning: 0 (0%)
Total: 154 (422)
SikumojaasubuhibibiyakeVusialimwitanakumwambia,“Tafadhalipelekayaihilikwawazaziwako.Wanatakakutengenezakekikubwakwaajiliyaharusiyadadayako.”

Alipokuwanjianikuelekeakwawazaziwake,Vusiakakutananavijanawawiliwanaokotamatunda.KijanammojaakanyakuayaikutokakwaVusinaakalirushakwenyemti.Yailikavunjika.

Umefanyanini?”Vusiakalia.“Yaililelilikuwakwaajiliyakeki.Kekiilikuwakwaajiliyaharusiyadadayangu.Dadayanguatasemajekamahakutakuwanakekiyaharusi?”

VijanawalewaliombamsamahakwakumchokozaVusi.“Hatunalakufanyakuhusukeki,lakinihiihapanifimbokwaajiliyadadayako,”mmojaalisema.Vusiakaendeleanasafariyake.

Njianialikutananawanaumewawiliwakijenganyumba.“Tunawezakutumiahiyofimboimara?”mmojaakaomba.Lakinifimbohaikuwaimarakwakujengea,naikavunjika.

Mmefanyanini?”Vusiakalia.“Fimbohiiilikuwazawadikwaajiliyadadayangu.Waanguamatundawalinipafimbohiyokwasababuwalivunjayailakeki.Kekiilikuwanikwaajiliyaharusiyadadayangu.Sasahakunayai,hakunakeki,nahakunazawadi.Dadayanguatasemaje?”

Wajenziwaliombamsamahakwakuvunjafimbo.“Hatunalakufanyakuhusukeki,lakinitutakupamakutiumpelekeedadayako,”mmojaalisema.NaVusiakaendeleanasafariyake.


Njiani,Vusiakakutananamkulimaakiwanang'ombe.“Unamakutimazuri,nawezakupatakidogo?”Ng'ombeakaomba.Lakinimakutiyalikuwamatamung'ombeakayalayote
Page 1 of 2
Login or Register to unlock our leading-edge reading tool that keeps you moving without breaking your rhythm. Come across a word or phrase you don't understand? No problem!
English
Feedback