Swahili Conversations 106 Mining

Swahili Known: 0
Passage stats:
Known: 0 (0%)
Unknown: 304 (100%)
Learning: 0 (0%)
Total: 304 (714)
Lilian:HabarimarafikikwajinanaitwaLilian.
Agnes:NamimihapanaitwaAgnes.
Lilian:karibunisanakatikaLanguageToolsSwahiliConversations,mambozakoAgnes.
Agnes:NzurituLilian,hiviLilianleoumekujanamadagani?
Lilian:Leonimekaanikafikirianikaonakwaninitusiongeleemadainayohusuujimbajiwamadini?
Agnes:Nikwelikabisanaonaleoumekujanamadanzurisana.
Lilian:Ndio,hiviAgnesweweukisikiaujimbajiwamadiniunaelewakitugani?
Agnes:Mimininavyoelewaujimbajiwamadininikilekitendochakujimbaardhikwaajiliyakupatamadini.Madiniyanayojimbwanikamavilealmasi,dhahabu,Tanzanaitikunashabamakaayamawenachumvimawe.
Lilian:Sawauposahihikabisa.Naje?kwenyehayomadiniyaliyochimbwaweweunafahamulabdafaidazahayomadiniamayanatumikakutengenezeavitugani.
Agnes:NikwelikabisazipofaidanyingisanatukiongeleTanzanaitiyanatumikakutengenezavituvyaurembokamahereni,mikufunavituvingivyathamanipia.
Lilian:Napiakunaalmasihizodhahabuulizosema,napiakwenyeTanzanaitinimadiniambayoyanapatikananchiniTanzaniapekeedunianzima.Nimadiniyarangiyabluu,zambaraunakijanikwambali,nakwakuwanimadiniyanayopatikananchinikwetupekeebasiwafanyabiasharanawauzamadiniwengiwanaotokakilapembeyaduniahujanchinikwetuhujakutakakununuamadanihayo,nakitendohichokinasababishakuongezeanchiyetupatokubwalaTaifa.NakamaulivyosemahapoawalimadinihayayaTanzanaitiyanatumikakutegenezeavituvingiikiwemohereni,mikufu,petepamojanamapambomenginemengi.
Agnes:Ndiotukiangaliahizo
Page 1 of 3
Login or Register to unlock our leading-edge reading tool that keeps you moving without breaking your rhythm. Come across a word or phrase you don't understand? No problem!
English
Feedback