Swahili Conversations 113 Business

Swahili Known: 0
Passage stats:
Known: 0 (0%)
Unknown: 332 (100%)
Learning: 0 (0%)
Total: 332 (820)
Agnes:HabarizenunaitwaAgnes.
Lilian:NaitwaLilian.
Agnes:KaribunisanakatikaLanguageToolsSwahiliConversations,habarizakoLilian.
Lilian:SalamasanaAgnes,vipiAgnesunaonajeleotukiongeleamadainayohusibiashara?
Agnes:Nimadanzurisanarafikiyanguuliyoichaguakwasababubiasharandiochanzokibwasanachawatanzaniasababuukiangaliaasilimiakubwasanawatuwanaojikitakwenyebiasharandogondogonabiasharakubwa.
Lilian:Uposahihi,hatamiminimfanyabiasharakwahiyonajuakwambabiasharandiochanzochangukikubwasanachakunipatiapesainayowezakunikidhimimipamojanafamiliayangu.Navipikwakoweweje,nimfanyabiashaamaumeajiriwa.
Agnes:Hapanamimisijaajiriwa,nimfanyabiasharalakinibiasharayanguinahusuujasiriamalisababumiminimfugajinapiahuwanimkulima.
Lilian:Sawa,nakwenyeukulimahuwaunalimamazaogani?
Agnes:Aaah,kwangumimimazaoninayolimahuwaninalimamahindi,nalimambogambogapamojanafugakukuwakisasanawakienyeji
Lilian:Aaa,unafanyabiasharanzurisana,kwahiyokupitiamfanohiibiasharayakoyaufugajiunawezakujipatiapesanyingimfanokwenyekukuunawezakuuzanyamapamojanamayaisindio?
Agnes:Ndiorafikiyangu,kwahiyounajuazipobiasharanyingisanatukiachananabiasharaambazonindogondogo,zipobiasharakubwaambazowatuwengisanahupendakuzifanyakamakuuzanguokamaulivyosemawewekwenyemadukamakubwamakubwawanauzajumlanarejareja,kwahiyobiasharaziponyingisanarafikiyangu.
Lilian:Naje,ukizungumziabiasharayakilimohayamazaomakuuambayoyanaingizianchiyetupesazakigenipamojanapesazahapahapa,hiviunajuahayomazaoyabiasharani
Page 1 of 4
Login or Register to unlock our leading-edge reading tool that keeps you moving without breaking your rhythm. Come across a word or phrase you don't understand? No problem!
English
Feedback