Swahili Conversations 118 Singing and Dancing

Swahili Known: 0
Passage stats:
Known: 0 (0%)
Unknown: 348 (100%)
Learning: 0 (0%)
Total: 348 (828)
Lilian:HabarimarafikwajinanaitwaLilian.
Agnes:NamimipianaitwaAgnes.
Lilian:karibunisanakatikaLanguageToolsSwahiliConversations,habarizakoAgnes.
Agnes:NzuriLilian,LeoLiliannaombatuongeleemadayakuimbanakuchezajeupotayari?
Lilian:Waoooh,nimadanzurisananipotayarimimininapendakwelikuimba,sijajuaweweunapendavyotekuimbanakuchezaamakunakimojaunachokipendazaidiyakingine?
Agnes:Aaah,nikwelimimininapendakuimbanakuchezakwasababunikiimbakwanzaninafura,huwaninapotezamawazo,kwahiyohiimadanaaminiitakuwanzurisanajinsitutakapokuwatunaelezea.
Lilian:Nakubaliananawewekabisakwaasilimia100,naje,ninyimboganiweweunapendakuziimbanakuzicheza.
Agnes:Aaah,kwangumimikwelininapendasanakuimbanyimbozadininazinanifanyakweliniwenafurahasijajuakwakowewe.
Lilian:MimininapendakuimbazilenyimbozakalemfanokamaakinaLessWanyika,rangiyachugwasiunaifahamu?
Agnes:Ndionazenyeweninyimbonzurirafikiyangu.
Lilian:Ndiokunailesinamakosanapianajaribugakuchezahizinyimbozarumbasijuiunazifahamu?
Agnes:Aaah,nyimbozarumbasinizazamanipia.
Lilian:Ehee,ndionyimbozarumbaninyimbozazamaniwalikuwawanatumiavifaavyazamanikamavilemadibawanatumiakwakutengenezeanyimbozao.Navipifaidazakuimbanakuchezaambazoweweunazifahamu.
Agnes:Nikwelizipofaidanyingisana,mimikwanzanikiimbahuwanapunguzamawazo,piakuimbanimojayautamaduniwetusisikamawatanzaniakwasababumtuukiwa
Page 1 of 4
Login or Register to unlock our leading-edge reading tool that keeps you moving without breaking your rhythm. Come across a word or phrase you don't understand? No problem!
English
Feedback