Unit 7: Shule za Watoto > Lesson 2

Swahili Known: 0
Passage stats:
Known: 0 (0%)
Unknown: 62 (100%)
Learning: 0 (0%)
Total: 62 (129)
MAZUNGUMZONAMWALIMU
Msaili:Mwalimu,hiishuleinachukuawanafunziwaainagani?

Mwalimu:Tunachukuawanafunzikuanziamiakaminnehadisita.Tunafundishamiakamitatuhapa.Mwakawakwanza,wanaumriwamiakaminne.Mwakawapilinamwakawatatuwanasomapamoja.Hawaniwanafunziwamwakawapilinamwakawatatu.Wotewanamiakasita.Mwakaniwataingiashuleyamsingidarasalakwanza.

Msaili:Kunawalimuwangapi?

Mwalimu:Kunawalimukuminambili.Kiladarasawalimuwawiliwawili.Asubuhikunamadarasamawiliyawanafunziwamwakawapilinamwakawatatu.Yaaniwanafunziwamiakasita.Mchananiwanafunziwamwakawakwanza.Wanamiakaminne.Wanafunziwotewanavaasare.Wasichana,gaunilabuluunablauzinyeupe.Wavulana,shatijeupenakaptulayabuluu.

Msaili:Asantesana.
Login or Register to unlock our leading-edge reading tool that keeps you moving without breaking your rhythm. Come across a word or phrase you don't understand? No problem!
English
Feedback